Gabrine Muguruza anayetokea Spain ameshangaza ulimwengu wa tennis kwa kumtoa namba 1 duniani Serena Williams kwa set zote....
mwenye umri wa miaka 22 ameshinda Grand Slam yake ya kwanza kabisa na amekuwa mtu wa kwanza kutoka Spain kushinda Roland Garros toka mwaka 1998 aliposhinda Arantxa Sanchez-Vicario...
0 Yorumlar